Ezra 2

Orodha Ya Watu Waliorudi Kutoka Uhamishoni

(Nehemia 7:4-73)

1 aBasi hawa ndio watu wa jimbo waliotoka uhamishoni, ambao Nebukadneza mfalme wa Babeli alikuwa amewachukua mateka hadi Babeli (walirudi Yerusalemu na Yuda, kila mmoja kwenye mji wake,
2
In order to format the table contained in this verse correctly, it has been necessary to move the content of some adjacent verses into it.
,
cwakiwa wamefuatana na Zerubabeli, Yeshua, Nehemia, Seraya, Reelaya, Mordekai, Bilshani, Mispari, Bigwai, Rehumu na Baana):

Orodha ya wanaume kati ya watu wa Israeli ilikuwa:
 3 dwazao wa Paroshi 2,172
 4wazao wa Shefatia 372
 5 ewazao wa Ara 775
 6wazao wa Pahath-Moabu (wa jamaa ya Yeshua na Yoabu) 2,812
 7wazao wa Elamu 1,254
 8wazao wa Zatu 945
 9wazao wa Zakai 760
 10wazao wa Bani 642
 11wazao wa Bebai 623
 12wazao wa Azgadi 1,222
 13 fwazao wa Adonikamu 666
 14wazao wa Bigwai 2,056
 15wazao wa Adini 454
 16wazao wa Ateri (kupitia Hezekia) 98
 17wazao wa Besai 323
 18wazao wa Yora 112
 19wazao wa Hashumu 223
 20 gwazao wa Gibari 95

20
In order to format the table contained in this verse correctly, it has been necessary to move the content of some adjacent verses into it.

 21 iwatu wa Bethlehemu 123
 22watu wa Netofa 56
 23watu wa Anathothi 128
 24watu wa Azmawethi 42
 25wazao wa Kiriath-Yearimu, Kefira na Beerothi 743
 26 jwazao wa Rama na Geba 621
 27watu wa Mikmashi 122
 28 kwatu wa Betheli na Ai 223
 29wazao wa Nebo 52
 30wazao wa Magbishi 156
 31 lwazao wa Elamu ile ingine 1,254
 32wazao wa Harimu 320
 33wazao wa Lodi, Hadidi na Ono 725
 34 mwazao wa Yeriko 345
 35wazao wa Senaa 3,630


36
In order to format the table contained in this verse correctly, it has been necessary to move the content of some adjacent verses into it.
oMakuhani:
wazao wa Yedaya (kwa jamaa ya Yeshua) 973
 37 pwazao wa Imeri 1,052
 38 qwazao wa Pashuri 1,247
 39 rwazao wa Harimu 1,017


40 sWalawi:


wazao wa Yeshua na Kadmieli (kupitia jamaa ya Hodavia)     74


41 tWaimbaji:


wazao wa Asafu     128


42 uMabawabu wa lango la Hekalu:


wazao wa

Shalumu, Ateri, Talmoni,

Akubu, Hatita na Shobai    
139


43 vWatumishi wa Hekalu:
Yaani Wanethini (pia 2:58, 70).

wazao wa Siha, Hasufa, Tabaothi,
44wazao wa Kerosi, Siaha, Padoni,
45wazao wa Lebana, Hagaba, Akubu,
46wazao wa Hagabu, Shalmai, Hanani,
47wazao wa Gideli, Gahari, Reaya,
48wazao wa Resini, Nekoda, Gazamu,
49wazao wa Uza, Pasea, Besai,
50wazao wa Asna, Meunimu, Nefusimu,
51wazao wa Bakbuki, Hakufa, Harhuri,
52wazao wa Basluthi, Mehida, Harsha,
53wazao wa Barkosi, Sisera, Tema,
54wazao wa Nesia na Hatifa.

55 xWazao wa watumishi wa Solomoni:
wazao wa Sotai, Hasaferethi, Peruda,
56wazao wa Yaala, Darkoni, Gideli,
57
In order to format the table contained in this verse correctly, it has been necessary to move the content of some adjacent verses into it.
wazao wa Shefatia, Hatili, Pokereth-Hasebaimu na Ami.

 58 zWatumishi wa Hekalu wote na

wazao wa watumishi

wa Solomoni
392


59
In order to format the table contained in this verse correctly, it has been necessary to move the content of some adjacent verses into it.
abWafuatao walikuja kutoka miji ya Tel-Mela, Tel-Harsha, Kerubu, Adoni na Imeri, lakini hawakuweza kuthibitisha kwamba jamaa zao zilikuwa uzao wa Israeli:
 60wazao wa

Delaya, Tobia na Nekoda
652


61 acKutoka miongoni mwa makuhani:
Wazao wa Hobaya, Hakosi, Barzilai (mtu aliyekuwa amemwoa binti wa Barzilai, Mgileadi, naye akaitwa kwa jina hilo).
62 adHawa walitafuta orodha za jamaa zao, lakini hawakuonekana humo, kwa hiyo waliondolewa kutoka kundi la makuhani kwa kuwa walihesabiwa kuwa najisi. 63 aeMtawala aliagiza kuwa wasile chochote miongoni mwa vyakula vitakatifu hadi kuwe kuhani atakayehudumu kwa Urimu na Thumimu.
Urimu na Thumimu maana yake ni Nuru na Kweli; vifaa hivi viliwekwa kwenye kifuko cha kifuani cha kisibau cha kuhani mkuu ili kujua mapenzi ya Mungu kwenye mambo ya kutatanisha.


64Jumla ya watu wote waliorudi walikuwa 42,360; 65 agtena zaidi ya hao walikuwepo watumishi wa kiume na wa kike 7,337; pia walikuwamo waimbaji wanaume na wanawake 200. 66 ahWalikuwa na farasi 736, nyumbu 245, 67ngamia 435 na punda 6,720.

68 aiWalipofika kwenye nyumba ya Bwana huko Yerusalemu, baadhi ya viongozi wa jamaa walitoa sadaka za hiari kwa ajili ya kujenga upya nyumba ya Mungu katika eneo lake. 69Wakatoa kwa kadiri ya uwezo wao na kutia katika hazina darkoni 61,000
Darkoni 61,000 za dhahabu ni sawa na kilo 500.
za dhahabu, mane 5,000
Mane 5,000 za fedha ni sawa na kilo 2,900.
za fedha, na mavazi 100 ya ukuhani kwa ajili ya kazi hiyo.

70 alMakuhani, Walawi, waimbaji, mabawabu, na watumishi wa Hekalu waliishi katika miji yao wenyewe, pamoja na baadhi ya watu wengine, nao Waisraeli waliosalia waliishi katika miji yao.

Copyright information for SwhNEN